Home » » YANGA&APR WALIVYOJIFUA KABLA YA MTANANGE WAO KESHO AMAHORO STADIUM

YANGA&APR WALIVYOJIFUA KABLA YA MTANANGE WAO KESHO AMAHORO STADIUM


Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa nyasi bandia wa Shirikisho la Soka Rwanda (FERWAFA) jana kujiandaa na mchezo wa kwanza Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika jana mjini Kigali, Rwanda. PICHA ZOTE NA KT RWANDA
Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa nyasi FERWAFA kujiandaa na mchezo wa Jumamosi utakaofanyika Uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda.
Yanga leo wanatarajiwa kufanya mazoezi Uwanja wa Amahoro
Mazoezi ya Yanga yalivutia watu wengi jana Uwanja wa FERWAFA
Wapinzani wao, APR walifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Amahoro jana
APR leo watawapisha Yanga kwenye Uwanja huo wa Amahoro
APR walionekana wako vizuri kuelekea mchezo huo
Mashabiki wa Rayon, wapinzani wa APR jana walijitokeza kwa wingi kwenye mazoezi ya Yanga
Na walikuwa wakiishangilia Yanga kwenye maozezi hayo, kuashiria kwamba wataiunga mkono hata kesho Amahoro
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger