Mtaalamu
wa Kispanyola, Rafael Benitez akiwa na jezi ya Newcastle United pamoja
na Mkurugenzi Mkuu wa klabu hiyo, Lee Charnley baada ya kutambulishwa
kuwa kocha mpya kufuatia kusaini Mkataba wa miaka mitatu kuchukua nafasi
ya Steve McClaren aliyefukuzwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment