Ajali
Moja ya
taarifa iliyosambaa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya
habari asubuhi ya leo march 9 2016, ni pamoja na hili tukio la ajali ya
magari matatu ambayo ni gari la abiria aina ya DCM, Lori la mchanga na
gari lingine lililokuwa limebeba ng’ombe kugongana katika eneo la
Tabata, Dar es salaam.
Hadi sasa
hakujawa na taarifa za uhakika kuhusiana na chanzo cha ajali ikiwa ni
pamoja na vifo na majeruhi, millardayo.com inaendelea kufuatilia undani
wa tukio hili na endelea kukaa karibu ili kila litakalonifikia niweze
kukusogezea.
Na hizi ni picha nne za kwanza kutokea katika eneo la tukio…..
0 comments:
Post a Comment