Mshambuliaji
wa PSG, Zlatan Ibrahimovic akiondoka na mpira baada ya kufunga mabao
manne katika ushindi wa 9-0 ugenini dhidi ya Troyes kwenye mchezo wa
Ligue 1 ya Ufaransa usiku wa leo Uwanja wa Aube. Mabao mengine ya PSG
yamefungwa na Edinson Cavani, Adrien Rabiot, Dreyer na Saunier aliyejifunga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Home »
» PSG MABIGWA TENA LEGUE1 2015/2016....WAFANYA KUFURU UFARANSA
0 comments:
Post a Comment