Home » » Bongo Movie wabeba Tuzo za AMVCA 2016

Bongo Movie wabeba Tuzo za AMVCA 2016


    Tazama hapa kuona video ya ushindi wa Richie Richie:

    Tayari Tanzania imeweza kung’ara tena anga za kimataifa baada ya wasanii wa filamu za Bongo, Maalufu Bongo Movies, Single Mtambalike ‘Richie Richie’ nia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kila mmoja kufanikiwa kutwaa tuzo mbili za Kimataifa za Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016, zinazofanyika Nchini Nigeria ndani ya mji Lagos.
    Elizabeth Michael (Lulu) amefanikiwa kutwaa tuzo ya Best Movie East Africa kupitia movie yake ya “MAPENZI” na Richie Richie  akitwaa tuzo ya  Best Indigeous Language Movie/TV Series Swahili kupitia Movie ya “KITENDAWILI”.
    Aidha, Lulu aliweza kuangusha chozi la furaha kwa kutwaa tuzo hiyo huku akmshukuru Mungu pamoja na wazazi wake akiwemo Mama yake Mzazi kwani anaamini amekuwa na safari ndefu katika maisha yake hadi kufikia hapo.
    This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 300w, http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/03/Lulua-michael.jpg 702w, http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/03/Lulua-michael-300x300@2x.jpg 600w" alt="Lulua michael" width="702" height="702" />
    Msanii Lulu katika tuzo hizo
    Mbali na wasanii wa Tanzania pia wasanii mbalimbali kutoka Bara la Afrika nao walifanikiwa kutwaa tuzo hizo usiku huu ni pamoja na:
    BEST ART DIRECTOR (MOVIE/TV SERIES)
    The refugees – Frank Raja Arase
    BEST TELEVISION SERIES
    Daddy’s Girls – Ariyike Oladipo
    BEST MAKEUP ARTIST (MOVIE/TV SERIES)
    Ayanda – Louiza Calore
    BEST SHORT FILM
    A day with death – Oluseyi Amuwa
    BEST WRITER (MOVIE AND TV SERIES)
    Ayanda – Trish Malone
    BEST LIGHTING/DESIGN
    Common Man- Stanley Ohikhuare
    BEST CINEMATOGRAPHY
    Tell me sweet something- Paul Michaelson
    BEST SOUND EDITING
    Marquex Jose Guillermo
    BEST PICTURE EDITING
    Rebecca- Shirley Frimpong-Manso
    BEST COSTUMING
    Uche Nancy- Dry
    BEST ACTRESS IN A COMEDY
    Jenifa’s Diary- Funke Akindele
    TRAILBLAZER AWARD
    Kemi Lala-Akindoju
    BEST MOVIE- SOUTHERN AFRICA
    JOYCE MHANGO CHAIGUALA
    BEST MOVIE- EASTERN AFRICA
    Mapenzi- Elizabeth Michael
    BEST MOVIE- WESTERN AFRICA
    Chinny Onwugbenu, Chichi Nwoko and Genevieve Nnaji – Road to Yesterday
    BEST ACTRESS IN A DRAMA
    Falling- Adesua Etomi
    BEST ACTOR IN A DRAMA
    A Soldier’s Story- Daniel K. Daniel
    BEST DIRECTOR
    Tell me Sweet Something- Akin Omotosho
    BEST OVERALL MOVIE
    Dry- Stephanie Linus

     

    Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

    0 comments:

     
    Supported by AMAGA Media services : | |
    Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
    Templete Designed by Abdallah Magana
    Proudly powered by Blogger