Kwenye Vyombo vya habari vya Kimataifa, habari inayomake headline ni kuhusiana na ajali ya Ndege iliyotokea mapema leo. Ndege ya FlyDubai ambayo ilikuwa ikitokea Dubai na watu 62 imeapata ajali wakati ikijaribu kutua uwanja wa ndege katika mji wa Rostov-on-Don nchini Urusi.
Inaripotiwa
kuwa abiria wote 55 na wafanyakazi saba wamekufa kwenye ajali hiyo, kwa
mujibu wa orodha ya waathirika iliyochapishwa kwenye tovuti ya Serikali
inaripotiwa kuwa upepo mkali ulionekana kuwa ndio umesababisha ajali
hiyo.
0 comments:
Post a Comment