Home » » Kama ilikupita droo ya mechi za robo fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya na Europa Ligi

Kama ilikupita droo ya mechi za robo fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya na Europa Ligi

Baada ya kumalizika kwa mechi za hatua ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mchana wa March 18 shirikisho la soka barani Ulaya zilichezesha droo za kupanga mechi za robo fainali ya michuano hiyo, huenda hukupata nafasi ya kuangalia droo hiyo hii ndio ratiba kamili.
as
Mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itachezwa kuanzia April 5 /6 na April 12/13
gv
Hii ni ratiba ya mechi za robo fainali ya michuano ya Europa Ligi
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger