Home » » MTOKEO YA LIGI KUU NCHINI ENGLAND

MTOKEO YA LIGI KUU NCHINI ENGLAND

BPL-2015-16-LOGO1                                                                                                                                              BAO 2 za Harry Kane zimeipa ushindi Tottenham walipoifunga Aston Villa 2-0 huko Villa Park.
Ushindi huo umeifanya Spurs iwe Pointi 2 nyuma ya Vinara Leicester City lakini wao wamecheza Mechi 1 zaidi.
Kesho Usiku Leicester wako kwao King Power Stadium kucheza na Newcastle ambayo ni ya pili toka mkiani lakini sasa wana Meneja mpya, Rafa Benitez, anaeanza kazi yake mpya rasmi hiyo kesho baada ya kupewa wadhifa huo Juzi alipotimuliwa Steve McClaren.
LIGI KUU ENGLAND
**Saa za Bongo
Jumapili Machi 13
Aston Villa 0 Tottenham 2           
Jumatatu Machi 14
2300 Leicester City v Newcastle
Jumamosi Machi 19
1545 Everton v Arsenal              
1800 Chelsea v West Ham          
1800 Crystal Palace v Leicester             
1800 Watford v Stoke                
1800 West Brom v Norwich         
2030 Swansea v Aston Villa        
Jumapili Machi 20
1630 Newcastle v Sunderland               
1630 Southampton v Liverpool             
1900 Man City v Man United                
1900 Tottenham v Bournemouth  
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger