Home » » Video: Zitto Kabwe azomewa Tunduma, aitwa Yuda na Msaliti, akiri kuonja supu ya jiwe Tunduma

Video: Zitto Kabwe azomewa Tunduma, aitwa Yuda na Msaliti, akiri kuonja supu ya jiwe Tunduma

    




Ule usemi wa Mla kuku wa mwenziwe miguu humuelekea, imetokea leo Tunduma
wakati kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo alipoenda kueneza chama kwa
kuikashifu CHADEMA. Hapo ndo nikaamini ule usemi kwamba, Mkataa pema
pabaya pamuita. Akakumbuka usemi alokua akiusema alipokua CHADEMA wa
CHADEMA ilipo ilifanya kazi ndo akakumbuka Ukimwona nyani mzee, amekwepa
mishale mingi
Zitto akakumbuka jinsi alivokua anafunga barabara kwa kujaza watu
aingiapo Tunduma kipindi akiwa CHADEMA na Sasa anapotafuta watu kwa
tochi, ikambidi ajiinamie huku kashikilia mlingoti wa bendera ya ACT na
kujisemea kimoyomoyo, "Ningejua nisingekuja Tunduma bila kujali ningejua
ni kiapo cha mjinga na huja baada ya tendo.
Mimi sitaki kuwawekea picha za photoshop wala za kuchakachua ya Kigoma
niilete Tunduma, hapana. Nimeamua kuwawekea video ili Wabishi na wagumu
wa kuelewa wakose la kusema na Waishie kuangalia tu.
Ama kweli mwanzo mgumu,
                                                            

Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger