Mitandao ya Kijamii imekuwa njia rahisi
zaidi kufanya taarifa kuwafikia watu wengi kwa haraka zaidi, kilichokua
nafasi kubwa leo ni ishu ya msiba wa Kiongozi wa Dini ya Kiislamu
Tanzania.
kuna stori inayothibitisha msiba wa aliyekuwa Sheikh Mkuu wa Tanzania,
Mufti Issa bin Shaaban Simba ambaye amefariki katika Hospitali ya TMJ Dar.
Naifuatilia hii stori kwa ukaribu,
Aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Waislamu Tanzania, Mufti Issa Bin Shaaban Simba
0 comments:
Post a Comment