Home »
» MBEYA CITY YABOMOLEWA TENA......MATOGORO NAYE AMFUTA JULIO NA PAUL NONGA MWADUI FC
MBEYA CITY YABOMOLEWA TENA......MATOGORO NAYE AMFUTA JULIO NA PAUL NONGA MWADUI FC
Klabu ya Mwadui ya mkoani Shinyanga imefanikiwa kumnasa kiungo Anthony Matogola kutoka klabu ya Mbeya City.
Kiungo huyo amesaini mkataba wa mwaka mmoja leo klabuni hapo mara baada ya mazungumzo ya pande zote mbili kukamilika
0 comments:
Post a Comment