Maelfu ya wananchi INDONESIA wayakimbia makazi yao
Maelfu ya watu wamelazimika kuyakimbia makazi yao nchini
INDONESIA, baada ya mlima SINABUNG wenye volcano hai, kuanza kuonyesha
dalili ya kulipuka.
Mlima huo umekuwa ukirusha majivu na hewani kwa kasi.
Kisiwa jirani na mlima huo cha SUMATRA, pia kiko hatarini kuathiriwa na volcano ya mlima SINABUNG.
Kwa mara ya kwanza mlima huo ambao kwa muda mrefu ulikuwa na volcano mfu, kwa muda mrefu, ulilipuka mwaka jana. Tangu wakati huo mlima huo umekuwa na matukio ya kulipua volcano mara kwa mara.
0 comments:
Post a Comment