Southampton
wamemsajili beki Cuco Martina kutoka FC Twente. Mchezaji huyo mwenye
umri wa miaka 25 amesaini mkataba wa miaka miwili na atajiunga na kikosi
hicho kambini nchini Austria
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari
0 comments:
Post a Comment