Home » » NEW VIDEO;Kendrick Lamar- Alright hipo hapa itazame&download.

NEW VIDEO;Kendrick Lamar- Alright hipo hapa itazame&download.

 

kk
Kendrick Lamar ni msanii wa HipHop ambaye anatamba na album yake mpya iitwayo Pimp A Butterfly, album ambayo inafanya vizuri Marekani. Kendrick ameona asikae kimya sana, ameamua atusogezee video mpya ya wimbo unaopatikana katika album hiyo.
Wimbo unaitwa Alright, na kama bado hujafanikiwa kukutana nayo nimekusogezea video hiyo hapa chini, bonyeza play kuitazama.
                                                  

Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger