Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Bara , Rajabu Ruhavi (kushoto) fomu ya kugombea urais Mjini Dodoma jana.
Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akizungumza na waandishi wa habari Mjini
Dodoma jana baada ya kurejesha fomu za kugombea urais. Kushoto ni
Mwanasiasa Mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru na Mke wake Regina Lowassa.
Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwa katika picha ya pamoj na
Wenyeviti wa Mikoa wa CCM baada ya kurejesha fomu za kugombea urais
Mjini Dodoma jana.
0 comments:
Post a Comment