-
Mpaka dk 90 zinakamilika timu izo zilitoka sare tasa ya bila kufungana ndipo zilipo ongezwa dk 30 lakin mamba yakawa magumu ndipo hatua ya penati ikafika na Chile kuibuka na ushindi wa goli 4-1
Chile 4 - 1 Argentina
Waliopata Chile
Fernandez
Vidal
Aranguiz
Sanchez
Waliopata Argentina
Messi
Waliokosa Argentina
Higuain
Banega
0 comments:
Post a Comment