Arsenal Leo hii imeichapa Everton 3-0 na kutwaa Barclays Asia Trophy huko Singapore National Stadium, Mjini Singapore.
Bao za Arsenal hii Leo zilifungwa na Theo Walcott, Santi Cazorla na
Mesut Özil katika Mechi ambayo Kipa Petr Cech, aliehamia hivi karibuni
kutoka Chelsea, kucheza Mechi yake ya kwanza mbele ya Watazamaji 53,000.
Bao pekee la Everton lilifungwa na Ross Barkley.
BARCLAYS ASIA TROPHY
RATIBA/MATOKEO:
*Saa za Bongo
Jumatano Julai 15
Everton FC 0 Stoke City FC 0 [Everton yashinda Penati 5-4]
Arsenal FC 4 Kombaini ya Singapore 0
Jumamosi Julai 18
Mshindi wa Tatu
Stoke 2 Singapore 0
Fainali
Everton 1 Arsenal 2
0 comments:
Post a Comment