Home » » HII NDIO 3 BORA YA CCM,KESHO KUJULIKANA MGOMBEA

HII NDIO 3 BORA YA CCM,KESHO KUJULIKANA MGOMBEA

WATATU CCM
Updates kutoka Dodoma July 11 2015 ziko kila wakati, na zinazonifikia tu  na mimi nazisogeza kwako ili usipitwe, tuliifahamu TOP 5 ya Wagombea Urais wa CCM, tatu bora je?
Mitandaoni hii ina uzito tayari, majina matatu yaliyopitishwa na CCM kwenye wagombea Urais majina ni haya >>> John Pombe Magufuli, Asha-Rose Migiro na Amina Salum Ali.
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger