MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JULY 19,2015 HAYA HAPA

 
DSC09774 DSC09775 DSC09776 DSC09777 DSC09778 DSC09779 DSC09780 DSC09781 DSC09782 DSC09783 DSC09784 DSC09785 DSC09786 DSC09787 DSC09788 DSC09789 DSC09790 DSC09791 DSC09792 DSC09793 DSC09794 DSC09795 DSC09796 DSC09797 DSC09798 DSC09799 DSC09800 DSC09801 DSC09802 DSC09803 DSC09804 DSC09805 DSC09806 DSC09807
 

WASHINDI WA TUZO ZA MTV MAMA AWARDS 2015 HAWA HAPA,DIAMOND KAMA KAWA KABEBA YAKE

 unnamed                                Yako majina mawili yaliyoiwakilisha Tanzania kwenye Category 13 za MTV Africa Music Awards 2015, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ‘Vee Money’… kura zimepigwa na leo ndio ilikuwa fainali yenyewe ndani ya Durban South Africa ukumbi wa Durban International Convention Centre.
Tanzania imetoka kifua mbele pia kwa mara nyingine, Daimond Platnumz kafanikiwa kupata ushindi wa Tuzo ya Best Live Act, ambapo alikuwa katika Category tatu tofauti na Vee Money alikuwa kwenye Category moja.
List ya Washindi wote hii hapa..
Best Female:
Yemi Alade (Nigeria) >>> Mshindi.
Bucie (South Africa)
Busiswa (South Africa)
Seyi Shay (Nigeria)
Vanessa Mdee (Tanzania)
Best Male:
Davido (Nigeria) >>> Mshindi
AKA (South Africa)
Diamond (Tanzania)
Sarkodie (Ghana)
Wizkid (Nigeria)
Best Group:
P Square (Nigeria) >>> Washindi.
B4 (Angola)
Beatenberg (South Africa)
Black Motion (South Africa)
Sauti Sol (Kenya)
Best New Act Transformed by Absolut:
Patoranking (Nigeria) >>> Mshindi.
Anna Joyce (Angola)
Cassper Nyovest (South Africa)
Duncan (South Africa)
Stonebwoy (Ghana)
Best Hip Hop: 
Cassper Nyovest (South Africa) >>> Mshindi.
K.O. (South Africa)
Phyno (Nigeria)
Olamide (Nigeria)
Youssoupha (DRC)
Best Collaboration:
AKA, Burna Boy, Da LES & JR: “All Eyes On Me” (South Africa/ Nigeria) >>> Washindi.
Davido featuring Uhuru & DJ Buckz: “The Sound” (Nigeria/SA)
Diamond & Iyanya: “Bum Bum” (Kenya/Nigeria)
Toofan & DJ Arafat: “Apero Remix” (Togo/Ivory Coast)
Stanley Enow & Sarkodie: “Njama Njama Cow Remix” (Cameroon/Ghana)
Song of the Year:
Mavins: “Dorobucci” (Nigeria)>>> Washindi.
Cassper Nyovest: “Doc Shebeleza” (South Africa)
Euphonik featuring Mpumi: “Busa” (South Africa)
DJ Fisherman & NaakMusiQ featuring DJ Tira, Danger & Dream Team: “Call Out” (South Africa)
K.O featuring Kid X: “Caracara” (South Africa)
Lil Kesh Featuring Olamide & Davido: “Shoki Remix” (Nigeria)
Sauti Sol: “Sura Yako” (Kenya)
Toofan: “Gweta” (Togo)
Wizkid: “Show You The Money” (Nigeria)
Yemi Alade: “Johnny” (Nigeria)
Best Live:
Diamond Platnumz (Tanzania) >>> Mshindi.
Big Nuz (South Africa)
Flavour (Nigeria)
Mi Casa (South Africa)
Toofan (Togo)
Video of the Year:
“Nafukwa” – Riky Rick; Director: Adriaan Louw >>> Mshindi.
“Crazy” – Seyi Shay Featuring Wizkid; Director: Meji Alabi
“Doors” – Prime Circle; Director: Ryan Kruger
“Love You Everyday” – Bebe Cool; Director: Clarence Peters
“The Sound” – Davido Featuring Uhuru & DJ Buckz; Director: Sesan
Best Pop & Alternative:
Jeremy Loops (South Africa) >>> Mshindi.
Fuse ODG (Ghana)
Jimmy Nevis (South Africa)
Nneka (Nigeria)
Prime Circle (South Africa)
Best Francophone:
DJ Arafat (Ivory Coast) >>> Mshindi.
Jovi (Cameroon)
Laurette Le Pearle (DRC)
Tour 2 Garde (Ivory Coast)
Toofan (Togo)
Best Lusophone:
Ary (Angola) >>> Mshindi
B4 (Angola)
Nelson Freitas (Cape Verde)
NGA (Angola)
Yuri Da Cunha (Angola)
Personality of the Year: 
Trevor Noah (South Africa) >>> Mshindi.
Basketmouth (Nigeria)
Bonang Matheba (South Africa)
OC Ukeje (Nigeria)
Yaya Toure (Ivory Coast)
MAMA Evolution (Category mpya): D’Banj (Nigeria) >>>> Mshindi.
Best International: Nicki Minaj (Mshindi)
Artist of the Decade: P Square (Washindi)
MTV Base Leadership Award: Saran Kaba Jones & S’Bu Mavundla (Washindi)
CKOakBFUwAAihl1
CKOalk7UMAAasmN
CKODKfbUEAAEpQl
CKOfWZ4UMAAk8AD
CKOGApNUkAAQn2M
CKOgSDlUsAE_tkS
CKOi51zUwAA3VuT
CKOMDvzUsAAZU0M
CKOPfzjUsAAVlIE
CKOQE-hUkAQsoyd
CKOR5xfUwAAHA-U
CKOV4RgVAAAZLzm
CKOXOHtVEAASEkR

BARCLAYS ASIA TROPHY-ARSENAL YATWAA KOMBE HUKO SINGAPORE!

cq5dam.thumbnail.490.338.margin                                                                                                                                                         Arsenal Leo hii imeichapa Everton 3-0 na kutwaa Barclays Asia Trophy huko Singapore National Stadium, Mjini Singapore. 
Bao za Arsenal hii Leo zilifungwa na Theo Walcott, Santi Cazorla na Mesut Özil katika Mechi ambayo Kipa Petr Cech, aliehamia hivi karibuni kutoka Chelsea, kucheza Mechi yake ya kwanza mbele ya Watazamaji 53,000.
Bao pekee la Everton lilifungwa na Ross Barkley.
BARCLAYS ASIA TROPHY
RATIBA/MATOKEO:
*Saa za Bongo
Jumatano Julai 15          
Everton FC 0 Stoke City FC 0 [Everton yashinda Penati 5-4]
Arsenal FC 4 Kombaini ya Singapore 0
Jumamosi Julai 18         
Mshindi wa Tatu
Stoke 2 Singapore 0
Fainali
Everton 1 Arsenal 2
 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger