UKURASA WA HABARI
  • Home
  • About Us
  • Contact Us
  • MATUKIO
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • SIASA
skip to main | skip to sidebar
Home » » Utafiti: Vijana wengi Tanzania hawafanyi kazi

Utafiti: Vijana wengi Tanzania hawafanyi kazi

Uchunguzi Ruth


  Utafiti huo uliangazia mwaka 2014/2015

Utafiti umebaini kwamba asilimia 71 ya Watanzania wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 35 wanatumia muda wao mwingi kwenye shughuli zisizo za uzalishaji mali.
Badala yake hutumia muda huo kujihudumia kwenye gesti, baa, kulala na katika shughuli za starehe.
Serikali imesema hali hii inaichelewesha Tanzania kuingia katika kundi la mataifa yenye uchumi wa kati kufikia mwaka 2025.
Bi Ruth Minja, ambaye ni mtakwimu mkuu katika ofisi ya taifa ya takwimu Tanzania, ndiye aliyeongoza utafiti huo wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi kwa mwaka 2014/2015.



 
Uchunguzi
  Ripoti ya uchunguzi huo imezinduliwa leo Dar es Salaam
Anasema waligundua kuwa watu wenye uwezo wa kufanya kazi walikuwa milioni 25 kutokana na kiashiria cha saa za kufanya kazi kupungua na baadhi ya wafanyakazi kupunguzwa kazi kutokana na utendaji dhaifu.
  • Magufuli: Vijana sharti wafanye kazi
Ally Msaki, aliyemuwakilisha katibu mkuu katika ofisi ya waziri mkuu anayeshughulikia masuala ya kazi,vijana ajira na watu wenye ulemavu amewaangazia Watanzania walioko kwenye ajira, ambao wanapata kipato ambacho hakitoshelezi kuweza kumudu gharama za maisha.
Amesema nafasi kama hizo za kazi hazina viwango vya ubora na ni kinyume cha maelekezo ya shirika la wafanya kazi duniani ILO.
Ingawa Sera ya taifa ya ajira kwa Taifa la Tanzania kwa mwaka 2008 ilijikita zaidi katika kuongeza fursa za ajira na kufanikiwa katika lengo lake, kuna kasoro kwenye kipengele cha ubora wa ajira.

Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako

  • Facebook
  • Twitter
Rejea mwanzo wa ukurasa

Habari kuu

Video ya Boko Haram yaonesha wasichana wa Chibok
Kanda ya video iliyotumwa kwa maafisa wa serikali ya Nigeria kutoka kwa kundi la wapiganaji wa Boko Haram inaonesha baadhi ya wasichana waliotekwa eneo la Chibok wako hai.
14 Aprili 2016
Mfumo wa kisasa wa uchukuzi wazinduliwa Rwanda
14 Aprili 2016
Trump: Viongozi wa Republican hawanitakii mema
14 Aprili 2016

Gumzo mitandaoni



Waziri Mkuu 'aliyehudumu' siku mbili Australia



Aliyesingizia utajiri kukwepa jela Marekani afungwa



Kiarabu ni marufuku katika miskiti Ujerumani



Atumia vidonge vya nguvu za kiume kuzoa kura



Simba apata makao mapya Afrika Kusini



Panya wailazimu Uingereza kukodisha paka



Mtu mrefu duniani awasili Mauritius



Safari ya ndege yakatizwa kutoa salamu za mwisho



Wanasayansi wagundua dawa 'inayorefusha maisha'

Habari zilizosomwa zaidi

  • 1 Mfalme akataliwa na watu wake visiwa vya Ufaransa
  • 2 Mfumo wa kisasa wa uchukuzi wazinduliwa Rwanda
  • 3 Video ya Boko Haram yaonesha wasichana wa Chibok
  • 4 Drogba kushtaki gazeti la Daily Mail
  • 5 Trump: Viongozi wa Republican hawanitakii mema
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari
Posted by Unknown at 09:05
Email This BlogThis! Share to X Share to Facebook

0 comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
  • UKURASA WA HABARI
  • Home

UNGANA NASI FACEBOOK

Total Pageviews

Popular post

  • MATOKEO&MSIMAMO NA RATIBA YA LIGI MBALIMBALI DUNIAN
    MSIMAMO LA LIGA- HISPANIA MSIMAMO LIGI KUU- ENGLAND MSIMAMO BUNDESLIGA- UJERUMANI MSIMAMO SERIE A- ITALIA MSIMAMO LIGUE 1- UFARANSA ...
  • MAGAZETI YA LEO FEBRUARY 9,2015 HAYA HAPA
    ...
  • MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MACHI 15,2015 YAPO HAPA
      ...
  • MAGAZETI YA LEO JUMANNE HAYA HAPA
           Chanzo; Mjengwa blog 
  • MAGAZETI YA LEO NOV 16,2014 YAPO HAPA
        . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...
  • hii Ndiyo Historia ya Usafiri wa Gari Duniani, pitia hapa kujua zaidi
      Gari ya kwanza ya Benzi   Historia ya motokaa Kwa karne nyingi watu walitumia magari yaliyovutwa na wanyama kwa mfano fa...

About Me

Unknown
View my complete profile

CHAGUA STORY HAPA

  • ►  2014 (76)
    • ►  October (7)
    • ►  November (46)
    • ►  December (23)
  • ►  2015 (255)
    • ►  January (14)
    • ►  February (16)
    • ►  March (39)
    • ►  April (41)
    • ►  May (17)
    • ►  June (63)
    • ►  July (51)
    • ►  October (9)
    • ►  November (5)
  • ▼  2016 (190)
    • ►  February (49)
    • ►  March (74)
    • ▼  April (52)
      • EWURA Yashusha bei za Umeme .....Service Charge Ya...
      • AWATOKI...
      • HONGERA
      • Watatu washtakiwa kashfa ya Stanbic
      • Diego Costa kifungoni ligi kuu ya Uingereza
      • HAPA KAZI TU
      • Kondakta ashtakiwa kutishia kumuua Magufuli
      • Hivi ndivyo Fools’ Day ilivyotesa wa watu kwenye m...
      • Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 2 2016
      • ANTONIO CONTE MENEJA MPYA CHELSEA
      • UEFA CHAMPIONS LIGI:BARCA KUTELEZA TENA KAMA EL CL...
      • RATIBA YA UEFA CHAMPIONS LIGI HATUA YA ROBO FAINALI
      • ULIISIKIA HII YA SIMBA KUSHINDA 11-1?
      • MBEYA CITY&BIN SLUM,KUSAINI MKATABA MPYA
      • CHEKI PICHAAAAZ, BAO LA MARTIAL LILIVYOIPA USHINDI...
      • Utatamani kujua maamuzi yaliyotangazwa leo Mahakam...
      • BREAKING: Unakumbuka alichokifanya Rais Magufuli s...
      • CUF Yatangaza Rasmi kutomtambua Rais Dkt. Shein na...
      • Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 5 2016
      • BARCA, BAYERN ZAPATA USHINDI MWEMBAMBA NYUMBANI LI...
      • PRESIDENT MAGUFULI’S FIRST WORKING VISIT TO THE RE...
      • AL AHLY HAWA HAPA, WAMETUA ALFAJIRI DAR
      • RAIS DK. SHEIN AZINDUA BARAZA LA WAWAKILISHI LA 9 ...
      • TANESCO YATOA UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA GHARAMA Z...
      • Ukawa wamwandama Rais Magufuli
      • PICHA 7: Rais Magufuli na Rais Kagame walivyoweka ...
      • KIPORO KINGINE CHAICHACHIA AZAM FC
      • UPDATE;UEFA CHAMPIONS LEAGUE,MADRID WAPUMULIA MACHINE
      • MADRID YAKUBALI KIPIGO UEFA
      • Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 7 2016
      • SIMBA KUIONGEZEA KASI YANGA MBIO ZA UBINGWA
      • Ratiba ya nusu fainali ya Kombe la shirikisho Tanz...
      • RONALDO AWAPIGA TATU WAJERUMANI, REAL YATINGA NUSU...
      • PICHAZ; KOBE BRAYANT ALIVYOSTAAFU RASMI, JAY Z, DA...
      • PATA TASWIRA 18 NAMNA BARCELONA ILIVYOVULIWA UBING...
      • TOP 10 YA HAT-TRICKS ZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE
      • Utafiti: Vijana wengi Tanzania hawafanyi kazi
      • Upinzani waandamana Zimbabwe
      • Hakielimu yashauri bajeti ya Elimu 2016/2017
      • Rais Magufuli ametengua tena uteuzi wa mtendaji mw...
      • UPDATE:EUROPA LEAGUE
      • Magazeti ya leo April 15,2016 haya hapa
      • Liverpool waitwanga Dortmund,watinga nusu Fainali ...
      • ULIMWENGU ANG`ARA TP MAZEMBE
      • RATIBA YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE HATUA YA NUSU FAIN...
      • RATIBA YA UEFA EUROPA LEAGUE HATUA YA NUSU FAINALI...
      • Simba kushiriki michuano ya kombe la Nile Basin
      • RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA WIKIENDI HII HIPO...
      • YANGA YAPEWA WAANGOLA KUWANIA MAKUNDI YA KOMBE LA ...
      • Madhehebu ya shia yaunga mkono kasi ya Rais Magufuli
      • NMB yazindua Business Club Ifakara
      • Chadema yalia na majipu na ubaguzi
    • ►  September (15)
  • ►  2017 (35)
    • ►  July (27)
    • ►  August (8)
 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger