Home » » RAIS DK. SHEIN AZINDUA BARAZA LA WAWAKILISHI LA 9 ZANZIBAR JANA

RAIS DK. SHEIN AZINDUA BARAZA LA WAWAKILISHI LA 9 ZANZIBAR JANA

    shei1
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid mara alipowasili katika viwanja vya jengo la Baraza hilo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar jana kuzinduz Baraza la 9, [Picha na Ikulu.]
    shei2
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya Heshma ya gwaride la kikosi cha FFU wakati wa Uzinduzi wa Baraza la 9 la Baraza la Wawakilishi  liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar jana,[Picha na Ikulu.]
    shei3
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la  kikosi cha FFU akiongozwa na Kamanda wa FFU Mjini Magharibi S.S.P Anani wakati wa Uzinduzi wa Baraza la 9 la Baraza la Wawakilishi  liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar jana,[Picha na Ikulu.]
    shei4
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Baraza la Wawakilishi alipofika kulizindua Baraza la 9  la Baraza la 9 la Wawakilishi Baraza la  liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar jana(kulia) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe,Zubeir Ali Maulid,[Picha na Ikulu.]
    shei5
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akiongoza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe,Zubeir Ali Maulid (mbele)na Katibu wa Baraza hilo wakati wakiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbeni nje ya Mji wa Zanzibar jana kabla ya kulizindua baraza hilo la 9,[Picha na Ikulu.]
    shei6
    Wajumbe wa baraza la Wawakilishi wakisimama wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipoingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar kabla ya kulizindua baraza la 9 jana, [Picha na Ikulu.]
    shei7
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake jana katika uzinduzi wa Baraza la 9  katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa baraza hilo liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
    shei8
    Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiwapungia mkono Wajumbe wakati alipotambulishwa jana akiwa ni miongoni wa Viongozi walioalikwa katika hafla ya uzinduzi wa Baraza la 9 la baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
    shei9
    Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake jana katika uzinduzi wa Baraza la 9  katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa baraza hilo liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar, [Picha na Ikulu.] (P.T)
    Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

    0 comments:

     
    Supported by AMAGA Media services : | |
    Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
    Templete Designed by Abdallah Magana
    Proudly powered by Blogger