Home » » Ratiba ya nusu fainali ya Kombe la shirikisho Tanzania hipo hapa

Ratiba ya nusu fainali ya Kombe la shirikisho Tanzania hipo hapa


April 12 2016 Shirikisho la soka Tanzania TFF kwa kushirikiana na kituo cha Azam TV kilifanya live droo ya kupanga mechi za nusu fainali ya Kombe la FA ambalo linajulikana kama Azam Sports Federation Cup (ASFC). Utaratibu wa droo hiyo ulikuwa timu ya kwanza kutajwa ndio ilikuwa inapata nafasi ya kuwa mwenyeji.
2
Huu ni mchezo wa nusu fainali utachezwa Tanga katika uwanja wa Mkwakwani April 24 2016
1
Huu ni mchezo wa nusu fainali utachezwa Shinyanga April 23 2016
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger