Home » » TANESCO YATOA UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA GHARAMA ZA UMEME NCHINI.

TANESCO YATOA UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA GHARAMA ZA UMEME NCHINI.


     Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),Decklan Mhaiki (kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) Dar es Salaam kuhusu malipo ya sasa ya gharama za Umeme nchini.Mwengine ni Kaimu Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Wateja,Leila Muhaji.

     Kaimu Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Wateja,Leila Muhaji.akiwakaribisha waandishi kwenye mkutano.

      Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),Decklan Mhaiki (katikati) akizungumza.Wengine ni  Kaimu Meneja Mawasiliano na Uhusiano kwa Wateja,Leila Muhaji (kushoto) na Katibu wa Mkurugenzi Mtendaji,Pius Gaspar.

      Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),Decklan Mhaiki(kushoto) akizungumza na waandishi.Mwengine ni  Katibu wa Mkurugenzi Mtendaji,Pius Gaspar.

      Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa kazini.(P.T)

     

    Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

    0 comments:

     
    Supported by AMAGA Media services : | |
    Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
    Templete Designed by Abdallah Magana
    Proudly powered by Blogger