Home » » PICHA 7: Rais Magufuli na Rais Kagame walivyoweka baraka zao kwenye daraja la Rusumo

PICHA 7: Rais Magufuli na Rais Kagame walivyoweka baraka zao kwenye daraja la Rusumo

 
.
.
Ni safari ya kwanza ya nje ya nchi kwa Rais Magufuli toka alipoteuliwa kuwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania October 2015, kasafiri kwa gari kwenda Rwanda ambapo kwenye siku yake ya kwanza yeye pamoja na Rais Kagame wamezindua daraja la Rusumo kwenye mpaka wa Tanzania na Rwanda. 
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger