Home »
» RATIBA YA UEFA EUROPA LEAGUE HATUA YA NUSU FAINALI HIPO HAPO
RATIBA YA UEFA EUROPA LEAGUE HATUA YA NUSU FAINALI HIPO HAPO
Hatua ya kwanza itachezwa mnamo April 28 mwaka huu....na marudiano itakua tarehe 5 may 2016.
Liverpool na Villarrel ni mara ya kwanza kukutana katika mashindano haya europa ligi.
Liverpool wataanzia ugenini na kumalizia katika uwanja wao wa Anfried
0 comments:
Post a Comment