Katika kusherekea sikukuu ya mlipa kodi nchini TRA mkoani Rukwa,Wilaya ya Sumbawanga Mjini wametoa msaada kwa kituo cha kulelea watoto kilichopo kata ya Katandala
Meneja wa TRA Wilayani Sumbawanga mjini MH: Jonh Palingo akikabidhi baadhi ya bidhaa kwa kituo cha kulelea watoto yatima ambacho kinamilikiwa na kanisa la Romani Cathoric
0 comments:
Post a Comment