Kila kukicha maovu yanaendelea kutendeka duniani,Na leo mkoani Iringa kichanga kimeokotwa dampo. Kichanga hicho ambacho hakikufikisha muda wake (premature) kiliokotwa maeneo ya Dampo la pili,Mwang'ingo mkoani Iringa.
Na huyu hapa chini ni binti ambaye anasadikika kutupa kichanga huyo.
Wakazi wa eneo la Mwang'ingo wakishuhudia tukio hilo mapema leo asubuhi.
0 comments:
Post a Comment