Home »
» MATOKEO YA DARASA LA SABA HAYA HAPA,UFAULU WAONGEZEKA
MATOKEO YA DARASA LA SABA HAYA HAPA,UFAULU WAONGEZEKA
|
DK. CHARLES E. MSONDE
AKITANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA OFISINIKWAKE,MSONDA AMESEMA MATOKEO YA MWAKA HUU UFAURU WAKE NI MKUBWA
UKILINGANISHA NA MWAKA JANA |
|
|
Matokeo ya Darasa la 7 kwa mwaka 2014 yametangazwa na Baraza la
Mitihani Tanzania Necta ambapo katika matokeo hayo ya mwaka huu
yanaonyesha Kiwango cha ufaulu kupanda kwa asilimia 56.99 Tofauti na
ufaulu wa mwaka jana ambao ulikuwa Asilimia 51.6 Huku mkoa wa Dar es
Salaam ukiongoza.
HAYA HAPA NDO MATOKEO YENYEWE:
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS
0 comments:
Post a Comment