Kiungo
Mbrazil, Emerson de Oliveira Neves Roque wa pili kulia akiwa mazoezini
na wachezaji wenzake, Mbrazl Andrey Coutinho kulia, Hamisi Kiiza Hussein
Javu asubuhi ya leo katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Mabibo,
Dar es Salaam. Emerson amewasili jana nchini kwa ajili ya majaribio
Yanga SC.
0 comments:
Post a Comment