Home »
» GEEZ MABOVU KUZIKWA LEO MKOANI IRINGA
GEEZ MABOVU KUZIKWA LEO MKOANI IRINGA
Msanii wa miondoko ya hiphop nchini Tanzania Geez Mabovu atazikwa leo mkoani Iringa
kwa mujibu wa baba yake mdogo Abbas Upate.
Geez Mabovu alipatwa na umati mnanao majira ya saa moja jioni ya Nov 12,2014 kwa malazi yaliyokuwa yakimsumbua muda mrefu
Tutakukumbuka kwa mengi uliyofanya MBELE YETU, NYUMA YAKO.......Bwana ametoa.Bwana ametwaaa Upumzike salama Geez Mabovu
0 comments:
Post a Comment