Home » » HIVI NDIVYO MWILI WA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA,MICHAEL SATA ULIVYOPOKELEWA JIJI LUSAKA

HIVI NDIVYO MWILI WA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA,MICHAEL SATA ULIVYOPOKELEWA JIJI LUSAKA


 

 

Sata8
Mwili wa Rais wa Zambia, Michael Sata umewasili Zambia tayari kwa mazishi ambayo yamepangwa kufanyika November 11.
Mwili wa rais huyo umewasili uwanja wa ndege wa Kenneth Kaunda International Airport na kupelekwa Mulungushi International Conference Centre kwa ajili ya kuendelea na taratibu nyingine zilizopangwa na Serikali ya nchi hiyo kufanyika kabla ya mazishi.
Hizi ni picha 10 zikionyesha namna mapokezi yalivyokuwa katika jiji la Lusaka siku ya jana Novemba 1.
Sata4
Sata5
Sata6
Sata9
Sata11
Sata10
Sata8
Sata7
Sata Kuwasili
Sata3

Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger