Taarifa zilizotufikia muda mfupi uliopita ni kuhusu tukio la ajali ya moto jiji Dar es salaam iliyotokea katika jengo la Machinga Complex lililopo Ilala,Dar es salaam.
Chanzo cha moto huo mpaka sasa hakijafahamika na tunaendelea
kufuatilia ili kukupa taarifa zaidi na hizi ni baadhi ya picha za tukio
hilo.
0 comments:
Post a Comment