Macho ya Watanzania wengi kwa siku ya Jumamosi Nov 29 yalielekezwa kwenye ukumbi wa Nasrec Expo Centre Afrika Kusini sehemu ambako zilikua zikitolewa tuzo za wateule wa Channel O Music Video Awards ‘CHOMVA’
Furaha tuliyokuwa nayo Watanzania ilikua kubwa baada ya kuona kijana kutoka nyumbani Tanzania kuwa ni miongoni mwa vijana walioshinda tuzo hizo katika vipengele (3) ambavyo ni Most Gifted East,Most Gifted Afro Pop na Most Gifted Newcomer.
Hii ndio orodha kamili ya washindi
Most Gifted R&B video
Crazy but Amazing-Donald
Most Gifted West Video
‘Turn Up-Olamide
Most Gifted Ragga/Dancehall
Buffalo Soulja
The Most Gifted Kwaito
Uhuru ft Oskido & Professor Kalawa -tjukutja
Most Gifted East Video
Diamond Platnumz
Most Gifted Dance Video
Busiswa-Ngoku
Most Gifted Hip Hop Video
AKA- Congratulate
Most Gifted Newcomer
Diamond Platnumz
Most Gifted Male Video
Casper Nyovest-Doc Shebeleza
Most Gifted Female Video
Tiwa Savage-Eminado
Most Gifted Afro Pop Video
Diamond Platnumz
Most Gifted duo/group/featurning
KCEE ft Wizkid-Pull Over
Most Gifted Video of the Year
Carsper Nyovest- Dos Shebeleza