Home »
» WATU 20 WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUNIKWA NA KIFUSI....KAHAMA
WATU 20 WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUNIKWA NA KIFUSI....KAHAMA
Wachimbaji madini wadogo 20 waliokuwa wakichimba katika machimbo ya dhahabu ya Kalole wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga, wamefariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi usiku wa kuamkia leo.
Mungu azilaze roho za marehemu mahali peponi
0 comments:
Post a Comment