Home »
» NEC;WAHAIRISHA UPIGAJI WA KURA YA MAONI YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
NEC;WAHAIRISHA UPIGAJI WA KURA YA MAONI YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) imesema kuwa kura ya maoni ya katiba inayopendekezwa, haitaweza kufanyika tena tarehe 30 April hadi hapo itakapotangazwa tarehe nyingine tena.
NEC imesema sababu ya kuhairisha kura hiyo April 30 ni kutokana na kutokamilika kwa zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura.
0 comments:
Post a Comment