Home » » MADEREVA WA MABASI YAENDAYO WILIYANI....WAGOMA JIJINI MBEYA

MADEREVA WA MABASI YAENDAYO WILIYANI....WAGOMA JIJINI MBEYA



Kituo cha Mabasi Nane nane, Jijini Mbeya. Eneo ambalo mabasi ya wilaya za   Kyela/Tukuyu na Mbarali huwa yanaanzia safari zao likiwa tubu baada ya  Madereva wa mabasi hayo kugoma chanzo kikiwa ni kukamatwa mara kwa mara barabarani pasipo kuwa na makosa.
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger