Home »
» UPDATE KUTOKA MKWAKWANI: MGAMBO WAIVUTA SHATI AZAM FC
UPDATE KUTOKA MKWAKWANI: MGAMBO WAIVUTA SHATI AZAM FC
Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Azam FC wametoa sare ya tatu mfululizo katika mfululizo wa michuano ya ligi kuu Tanzania baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana na maafande wa jeshi la kujenga taifa JKT Mgambo katika dimba la Mkwakwani Jijini Tanga
0 comments:
Post a Comment