Mshambuliaji
mpya wa Manchester United, Romelu Lukaku aliyesajiliwa kwa dau la Pauni
Milioni 75 kutoka Everton akisaini jezi ya shabiki wa timu hiyo baada
ya kuwasili mjini Manchester leo wakitokea Marekani ambako walikwenda
kuweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya pamoja na kucheza mechi za
kujipima nguvu za mashindano ya Kombe la Mabingwa wa Kimataifa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Home »
» MAN UNITED WAREJEA NYUMBANI BAADA YA KAMBI YA MAREKANI
0 comments:
Post a Comment