Kwenye Magazeti ya Tanzania leo July 25, 2017 issue mbalimbali
zimechukua headlines ambapo miongoni mwao ni kuhusu Mkazi mmoja wa
Kyela, Mbeya Erick Mwangonda kuuawa kwa risasi na watu wasiofahamika
akiwa kwenye banda lake la biashara.
Mwendesha Bajaj mkazi wa Njoro, Moshi ameuawa na mwili wake kufukiwa
nyuma ya nyumba ya mtuhumiwa wa mauaji hayo wilayani Siha, Kilimanjaro.
0 comments:
Post a Comment