Mshambuliaji
Mbrazil, Neymar akiruka juu kwa furaha baada ya kuifungia Barcelona
bao la kwanza dakika ya 15 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Juventus, tena
bao la pili akifunga yeye mwenyewe dakika ya 26 usiku wa jana Uwanja
wa MetLife mjini East Rutherford, New Jersey, Marekani katika
mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa. Bao la Juve limefungwa na beki
Mtaliano Giorgio Chiellini dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Home »
» NEYMAR APIGA ZOTE MBILI MAREKANI BARCA YAILAMBA JUVE 2-1
0 comments:
Post a Comment