Home »
» Muumini apigwa risasi akiingia Kanisani Dar es Salaam
Muumini apigwa risasi akiingia Kanisani Dar es Salaam
Miongoni mwa issue kadhaa zilizojadiliwa kwenye Magazeti ya
Tanzania leo July 24, 2017 ni pamoja na issue ya mkazi mmoja wa Ubungo
Kibangu Dar es Salaam Adrian Mpande kunusurika kifo baada ya kupigwa risasi wakati akiingia Kanisani.
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari
0 comments:
Post a Comment