Home »
» UPDATE;Man U Vs Arsenal
UPDATE;Man U Vs Arsenal
Update kutoka OT ambako kuna mpambano wa ligi kuu nchini England kati ya Man U Vs Arsenal mpaka kipindi cha kwanza kinaisha man u wapo mbele kwa magoli 2-1 dhidi ya Arsenal.
Magoli ya man u yamefungwa na Rashford na goli la Arsenal likifungwa na Welback...Kaa nami kwa motekeo zaidi
0 comments:
Post a Comment