Home »
» Full HD: Magoli yote ya Yanga vs Simba FEB 20 2016 ( 2- 0 ) Nimekuwekea hapa yatazame
Full HD: Magoli yote ya Yanga vs Simba FEB 20 2016 ( 2- 0 ) Nimekuwekea hapa yatazame
February 20 2016 ilichezwa hii mechi ya YangavsSimba uwanja wa taifa Dar es salaam ikiwa ni mechi ya ligi kuu ambapo Yanga walichukua ushindi wa 2-0,
ikiwa ni mara ya 31 Yanga kuishinda Simba toka timu hizi zianze
kukutana uwanjani… bonyeza play hapa chini uone magoli yote ya Yanga
leo.
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari
0 comments:
Post a Comment