Home »
» Unaweza kuyatazama hapa matokeo yote ya kidato cha nne 2015/16
Unaweza kuyatazama hapa matokeo yote ya kidato cha nne 2015/16
Baraza la mitiani Tanzania NECTA limetangaza Matokeo
ya kidato cha nne mwaka 2015 , ambapo ufaulu unaelezwa kushuka kwa
1.85% toka 69.75% mwaka 2014 hadi 67.91% mwaka 2015.
0 comments:
Post a Comment