Belgium imebaki Nambari Wani kwenye FIFA Listi ya Ubora Duniani iliyotolewa Leo huku Tanzania ikipanda Nafasi 1.
10 Bora imebaki vilevile bila mabadiliko huku Mabingwa wa Dunia, Germany, wakiwa Nafasi ya 4.
Tanzania sasa ipo Nafasi ya 125 baada ya kupanda Nafasi 1 toka Mwezi uliopita walipopanda Nafasi 6.
Timu ya juu Afrika bado ni Ivory Coast lakini imeporomoka Nafasi 9 na sasa ipo Nafasi ya 28 ikifuatiwa na Cape Verde ambayo ipo Nafasi ya 33 baada ya kupanda Nafasi huku Algeria ikiwa Nafasi ya 36 baada ya kushuka Nafasi 8.
20 BORA:
1 Belgium
2 Argentina
3 Spain
4 Germany
5 Chile
6 Brazil
7 Portugal
8 Colombia
9 England
10 Austria
11 Uruguay
12 Switzerland
13 Ecuador
14 Netherlands
15 Italy
16 Romania
17 Wales
18 Croatia
19 Hungary
20 Turkey
0 comments:
Post a Comment