Maajabu
Moja ya ripoti iliyonifikia kutokea nchini Bangladesh ni hii ya jamaa kuugua ugonjwa wa kuota mizizi katika sehemu za viungo vyake vya mwili.
Abul Bajandar alianza kupata hali miaka 10 iliyopita, ugonjwa huu unajulikana kama epidermodysplasia verruciformi au “ugonjwa wa binadamu mti”.
Serikali ya Bangladesh kupitia kwa Waziri wa afya Mohammad Nasim imesema itagharimia upasuaji wa kijana huyo.
Chanzo: BBC Swahili
0 comments:
Post a Comment