Ligi kuu ya soka ya
England inatarajiwa kuendelea tena umamosi kwa michezo mbalimbali
katika viwanja tofauti, Manchester City watakuwa wenyeji wa Leicester,
Aston Villa watamenyana na Norwich city, Liverpool watawaalika
Sunderland, Newcastle united dhidi ya West Brom, Stoke watakuwa wenyeji
wa Everton,Swansea watawakabili Crystal Palace, Watford watakuwa wageni
wa Tottenham, na Southampton watakuwa nyumbani dhidi ya West Ham.
Jumamosi 6 Februari, 2016 (Saa za Afrika Mashariki)
- Man City v Leicester 15:45
- Aston Villa v Norwich 18:00
- Liverpool v Sunderland 18:00
- Newcastle v West Brom 18:00
- Stoke v Everton 18:00
- Swansea v Crystal Palace 18:00
- Tottenham v Watford 18:00
- Southampton v West Ham 20:30
Jumapili 7 Februari, 2016
- Bournemouth v Arsenal 16:30
- Chelsea v Man Utd 19:00
0 comments:
Post a Comment