Home » » Breaking News: Ajali imetokea Dodoma muda huu…(+Pichaz)

Breaking News: Ajali imetokea Dodoma muda huu…(+Pichaz)




IMG-20160207-WA0004
Ripoti kutoka Dodoma leo asubuhi ni hii ya ajali ya gari la mafuta lililodondoka na kulipuka katika eneo la Kibaigwa, hadi sasa hakuna taarifa kamili ya ajali hii. Endelea kukaa karibu na  keneth M Mwandemange ili zikinifikia nikusogezee kwa wakati.
 
Gari la mafuta likiendelea kuteketea kwa moto
IMG-20160207-WA0005
.
IMG-20160207-WA0006
IMG-20160207-WA0007
Wananchi wakishuhudia ajali
IMG-20160207-WA0008
IMG-20160207-WA0009
.
Chanzo;MillardAyo.com
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger