Home » » Nyimbo mpya ya Nay wa Mitego ‘Shika adabu yako’ hipo hapa

Nyimbo mpya ya Nay wa Mitego ‘Shika adabu yako’ hipo hapa

Baada ya kutamba tena na hit song ya ‘Nyumbani kwetu’, Staa wa bongoflevani Nay wa Mitego tayari amekusogezea tena good music nyingine na hii inaitwa ‘Shika adabu yako
shika adabuuuu
Sasa ni time yako kuenjoy nayo kwa kubofya hapa chini kwenye hii link na itakupeleka moja kwa moja kuisikiliza au kuipakua..
bit.ly/ShikaAdabuYako
Toa maoni yako kwa habari hii kwa kuweka email yako hapa,na endelea kutufatilia zaidi Ukurasa wa habari

0 comments:

 
Supported by AMAGA Media services : | |
Copyright © 2015. UKURASA WA HABARI - All Rights Reserved
Templete Designed by Abdallah Magana
Proudly powered by Blogger