LIGI KUU ENGLAND
Ratiba/Matokeo:
Jumapili 14 Februari 2016
Arsenal 2 Leicester 1
Aston Villa 0 Liverpool 6
1915 Man City v Tottenham
+++++++++++++++++++++++++
LIVERPOOL wamepata mteremko huko Villa Park baada ya kuwanyuka Aston Villa Bao 6-0 katika Mechi ya Ligi Kuu England.
Hadi Mapumziko, Liverpool walikuwa mbele kwa Bao 2-0 zilizofungwa na Daniel Sturridge na James Milner katika Dakika za 16 na 25 na Kipindi cha Pili kuongeza Bao 4 zaidi kupitia Can, Dakika ya 58, Origi,63, Clyne, 65, na Kolo Touré, 71..
Ushindi huu umewapandisha Liverpool na kukamata Nafasi ya 8 wakati Villa wanabaki mkiani kabisa.
VIKOSI:
Aston Villa: Bunn, Richards, Okore, Lescott, Cissokho, Bacuna, Gana, Westwood, Gil, Veretout, Agbonlahor.
Akiba: Guzan, Clark, Sinclair, Richardson, Hutton, Lyden, Davis.
Liverpool: Mignolet, Clyne, Toure, Sakho, Moreno, Henderson,
Can, Milner, Firmino, Sturridge, Coutinho.
Akiba: Benteke, Caulker, Origi, Ibe, Stewart, Flanagan, Ward.
REFA: Neil Swarbrick
LIGI KUU ENGLAND
Ratiba
Jumamosi Februari 27
1545 West Ham v Sunderland
[Mechi zote kuanza 1800]
Leicester v Norwich
Southampton v Chelsea
Stoke v Aston Villa
Watford v Bournemouth
2030 West Brom v Crystal Palace
Jumapili Februari 28
[Mechi zote kuanza 1705]
Man United v Arsenal
Tottenham v Swansea
Jumanne Machi 1
[Mechi zote kuanza 2245]
Aston Villa v Everton
Bournemouth v Southampton
Leicester v West Brom
Norwich v Chelsea
Sunderland v Crystal Palace
Jumatano Machi 2
2245 Arsenal v Swansea
2245 Stoke v Newcastle
2245 West Ham v Tottenham
2300 Liverpool v Man City
2300 Man United v Watford
0 comments:
Post a Comment